Kisa Kimoja cha COVID-19 Chasababisha New Zealand Kuweka Lockdown
New Zealand iliweka marufuku ya kutoka nje kuanzia jana Jumanne, Agosti 18, baada ya kisa kimoja cha COVID-19 kuripotiwa. Wakati wa marufuku hayo ya siku tatu, shughuli zote nchi nzima zitafungwa, Guardian inaripoti.