Makueni: Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Amuua Bibi Yake
Habari Nyingine: Shahidi Mkuu wa Mauaji ya Kevin Omwenga Apatikana Ameuawa Nyumbani Kwake Polisi kutoka Kituo cha Polisi cha Makindu, katika kaunti ya Makueni wanamzuilia mvulana mwenye umri wa miaka 16, kwa shutuma ya kumuua bibi yake mnamo Jumamosi, Julai 24 usiku.